Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

CHAMA CHA MAPINDUZI NI CHAMA KIZURI KAMA NIINIINIIH! LEO NATAKA KUIJUA ILE NININIH NI NINI? Na Comrade Ally Maftah Kuna ule usemi kitu kikiwa kitamu unasema "KITAMU KAMA NIININI" nataka tujue...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Hii ni aina mpya ya uchawi na njia ya mkato ya kupata pesa bila kuzitolea jasho! Ni utajiri flani hivi ambao unapewa kibegi na mganga na popote unapoenda lazima ukibebe mgongoni. Ndani ya kibegi...
133 Reactions
435 Replies
54K Views
Kati ya sekta huria ambazo kila kinyangarika yumo basi ni NDOA. Hii "sekta" ya ndoa huwezi kujua mtaalamu ni yupi wala majnuni ni yupi. Kila mtu kawaka moto anajitia mjuvi, hapoi wala haboi...
8 Reactions
22 Replies
100 Views
Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu...
5 Reactions
48 Replies
511 Views
Baadhi ya mambo yaliyojitokeza kwenye majadiliano ya CHADEMA ni pamoja na kupenyezwa kwa hoja ya kuwasamehe wabunge 19 warejee kwenye chama. Wajumbe kwa kauli moja wamewakataa wabunge hao na kudai...
7 Reactions
18 Replies
864 Views
Kuanzia nafanya utafiti jinsi Lugha ya Kiswahili inavyaondikwa kimakosa katika mtandao wa bbc swahili Mfano leo wameandika Mamilioni ya watuwenye umri wa makamo wameongozwa kimakosa kuamini kuwa...
0 Reactions
8 Replies
9 Views
Sasa siwezi hata ongea nikisema neno nalia.
25 Reactions
220 Replies
4K Views
Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni. Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of...
12 Reactions
67 Replies
1K Views
Mtanzania, Denis Mfumbulwa (44) anayedaiwa kujipatia huduma ya kula katika Hoteli ya Serena bila kulipa, ameachiwa huru katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo jijini Dar es salaam kwa sababu hakuna...
2 Reactions
23 Replies
450 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,059
Posts
49,621,368
Back
Top Bottom