Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mwanaume atavaa kiatu pea moja zaidi ya mwaka bila kununua kipya. Ila mkewe atabadilisha pea mpya kila mwezi na amani itakuwapo. Mwanaume anaweza kwenda bar, au mgahawani na kula anachotaka ila...
2 Reactions
4 Replies
91 Views
Yaan hizi taarifa nikisiaga nafungaga simu. Sijawahi sikia dreva anasababisha vifo amekamatwa. Nasikiaga tu dreva anatafutwa. Ushauri mkiwapata mtuoneshe pia amekamatwa hasa hawa wanaobeba...
2 Reactions
1 Replies
32 Views
Wengine kila asubuhi chai Mkate wengine hupendelea Viazi mviringo kila asubuhi na wengine kiporo cha wali. Mimi Kwa mazingira ninayokuwepo asubuh siwezi kukwepa Mihogo Kama mnavojua cassava Kwa...
2 Reactions
36 Replies
351 Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
42 Reactions
205 Replies
5K Views
Na mara nyingi baba akiongeza mke ndio anahamishia kambi mazima huko. mke wa pili na watoto wake ndio wanapewa kipaumbele, wale wa mke wakwanza hupewa kisogo, baba anaona ni kama alikosea kuoa...
2 Reactions
4 Replies
32 Views
Hii ni nature na hakika, Usijaribu kujionyesha kuwa u mwema au u mtoto wa mjini kwa kumuunganishia mtu wa karibu nafasi ya kazi kazini kwako. Mtavurugana mpaka mchanganyikiwe. Hii nimeiona...
14 Reactions
21 Replies
1K Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?
4 Reactions
33 Replies
231 Views
Wanakumbi. 🇵🇸HAMS KWA ISRAEL: UTAJUTA KUVAMIA RAFAH Taarifa Rasmi ya Hamas: "Hatua zilizochukuliwa na jeshi la kigaidi katika maandalizi ya shambulio dhidi ya mji wa Rafah, ambao umejaa wakazi...
7 Reactions
138 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,956
Posts
49,618,294
Back
Top Bottom