Salam wadau.
Tunaambiwa ni tatizo lilikuwa ni mkongo kukatika baharini, watu wengi hawajui mkongo ni nini unakaa wapi unatoka wapi na nani anaumiliki na nani anautengeneza huo mkongo.
Mtu...
Ghorofa Inauzwa.
Eneo: Mtoni Kijichi
Ukubwa: Sqm 1250
Nyaraka: Ina Hati Miliki.
Ina vyumba vinne(4), master bedrooms 2, sitting room, dining room, kitchen na public toilet. Pia Kuna boycota...
Wakuu heshima yenu! Heading inajieleza, mimi ni kati ya wale watanzania waliobahatika kuishi mikoa mingi hapa nchini, kiukweli Nchi yetu kwa kiasi chake imebarikiwa kwa uzuri nimeishi Maeneo kama...
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
Akiwa anahojiwa kutoka katika televisheni ya Wasafi (Wasafi TV) Waziri Nape amesema kuwa serikali haina matatizo na Starlink, kinachofanya washindwe kutoa huduma zao nchini ni sababu...
Watanzania ni watu wazarendo sana kwa vitu vilivyo vya kwao! Lakini inafikia mahali wawasilishaji wanaviwasiliaha kimakosa!
Uwanja pekee ambao kwa sasa umefifia na uko karibu kufa ni katika...
Wana jamvi,
Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika. Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.