Katika hatua yakwanza tulifanikiwa kuiua na kuizika Tanganyika, safari hii tuiue na kuizika Zanzibar tubaki na Tanzania tu.
Unguja na Pemba iwe mikoa, tuweke wakuu wa mikoa wawili kule, nchi iwe...
Naombeni ushauri,
Nilikua na mahusiano na mdada kwa kipindi cha mwaka mmoja umepita sasa. Na kama week mbili nyuma zimepita nilimfumania akiwa na mwanaume na nikaamua kuachana nae, simu zake...
Ukiona hii chapa, basi ujue humo ndani sio drama, mapenzi wala vita. Hawa jamaa hawana mambo hayo. Hawa wameletwa duniani kwa kazi moja tu, kuwafurahisha wapenzi wa 'horror' na sie tunawashukuru...
Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu.
Hivi unajisikiaje kuwa sehemu ya migogoro katika ndoa ya mwanaume mwenzako?,sawa...
Kila Jumatano ya mwanzo wa mwezi EWURA wanatangaza bei mpya ya nishati ya mafuta. Kwa asilimia kubwa kila wakitangaza ni ongezeko tu la bei na siyo punguzo.
Ukichukua mfano wa nchi zote za jirani...
Wakuu poleni kwa majukumu,
Hivi roho ya ubinafsi au chuki huwa tunazaliwa nayo au ni kutokana na mazingira tunayofanyia kazi na watu wanaotuzunguka,
Huwa inafika muda mtu anapata pesa watu...
Aiseeeee habari za leo wazee.........
Huyu jirani yangu ana watoto wawili mmoja yuko darasa la tano mwingine yuko darasa la pili, ni mdada wa makamo shughuli yake kuu ni kupika vitafunwa asubuhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.