Wadau hamjamboni nyote?
Uzi huu unakusudia kuwaenzi Waandishi wetu wakongwe na wanaoheshimika wa ndani na nje ya nchi.
Hivyo unachotakiwa ni kuweka msemo/ nukuu moja, jina la Mwandishi , Kitabu...
Wakuu kuna kitu nimekuwa sikielewi, hizi nyumba za kupanga bei zinapaa sana. Unakuta nyumba ipo Kibamba au Madale unaambiwa kodi 500k unabaki unashangaa.
Hivi kwa mishahara na biashara zetu hizi...
Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana.
- Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta
- Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu...
Sasa tumepata kisingizio cha mkongo wa taifa kuharibika. Tutarajie hali hii kwa miezi kadhaa kama si miaka. Ila bei itazidi kupaa.
**Ushuzi umepata mjambaji
“Tumepokea ugeni mzito kutoka moja ya Klabu kubwa Barani Afrika, TP Mazembe ya DR Congo ambao wamevutiwa na namna Klabu yetu ya Yanga inavyoendeshwa hivyo wamekuja hapa Tanzania kujifunza mambo...
Aiseeeee habari za leo wazee.........
Huyu jirani yangu ana watoto wawili mmoja yuko darasa la tano mwingine yuko darasa la pili, ni mdada wa makamo shughuli yake kuu ni kupika vitafunwa asubuhi...
Maliasili ni vitu ambavyo vipo asilia. Vitu hivi ni vitu vinavyotuzunguka lakini havijatengenezwa na mtu au taifa fulani. Asilimia kubwa tunategemea maliasili kwa ajili ya kuendeleza uchumi wa...
Habari wakuu
Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo
Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa...
Wakuu Heshima mbele.
Mimi binafsi kwanza niseme ni mtu ambaye napenda sana kusoma historia tofauti tofauti. Nimekuwa nikivutiwa na mzee wangu Mohamed Said katika maandiko yake mengi, mzee Mohamed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.