Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nishawahi kuchangia watu 25 nnaowajua na ndoa 13 Zishavunjika ndani ya mda mfupi tu hivi simuowe kwa siri kwa bajeti ndogo muache kusumbua watu
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Waziri Bashe anachapa kazi kwelikweli pale wizara ya Kilimo kiasi cha kuwa tishio Kwa kundi la wasaka urais ndani ya CCM wanapoona anawaovershine Kwa sasa moja ya mbinu wanazotumia ni kumchafua...
0 Reactions
7 Replies
87 Views
"Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi...
46 Reactions
221 Replies
8K Views
Naombeni ushauri, Nilikua na mahusiano na mdada kwa kipindi cha mwaka mmoja umepita sasa. Na kama week mbili nyuma zimepita nilimfumania akiwa na mwanaume na nikaamua kuachana nae, simu zake...
2 Reactions
36 Replies
613 Views
Wakati Marekani kwa miaka kadhaa ikitumia mabilioni ya pesa kwenye vita, China imekuwa ikiwekeza mabilioni kwenye R&D (Research & Development) Matokeo yameanza kuonekana sasa, utawala wa Marekani...
8 Reactions
66 Replies
2K Views
IKIWA HUJAPATAPO KUZIONA TARIFA ZA KIKACHERO ZA SPECIAL BRANCH 1950s "Tanganyika Political Intelligence Summary, March 1952": "...it is reported that the Secretary of the Association, Abdul Wahid...
0 Reactions
6 Replies
75 Views
Naibu Rais wa Kenya Bwana Gachagua amekosolewa Vikali Kwa kuanzisha na kirahisi kuipigia chapuo sera ya ubaguzi wa kiuchumi aliyooiita Kwa jina la One Man,One Vote,One Shiling. Wabunge kutoka...
1 Reactions
2 Replies
77 Views
Kuna hizo mechi tatu wadau nataka nitie hii laki tisa mnayoona hapo vipi nitataboa au nitapotea wadau mawazo yenu muhimu kama wawekezaji kuelekea mwisho wa ligi
4 Reactions
39 Replies
619 Views
Kichwa cha uzi kinajieleza. Lakini Lissu hajawahi kujisifia popote kama aliahidiwa Cheo na Shujaa akakataa. Wote tunajua 2015 Freeman pamoja na mambo mengine aliahidiwa Uwaziri mkuu na yeye...
4 Reactions
26 Replies
510 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views

FORUM STATS

Threads
1,854,034
Posts
49,620,593
Back
Top Bottom