Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni hapo hapo Chato. Aliwajengea uwanja wa ndege ambazo hata nauli hawana, bado wanatumia punda. Pia baada ya kuwajengea uwanja huo, watoto wa wana chato wanaknya vichakani. Kalemani atupishe...
14 Reactions
75 Replies
3K Views
Akiwa anahojiwa kutoka katika televisheni ya Wasafi (Wasafi TV) Waziri Nape amesema kuwa serikali haina matatizo na Starlink, kinachofanya washindwe kutoa huduma zao nchini ni sababu...
4 Reactions
22 Replies
284 Views
Ni kama Mungu ameumba idadi sawà kati ya wanaume na wanawake. Kwa kuzingatia idadi ya wanawake na wanaume Tanzania na hata duniani kwa ujumla. Statistics zinaonesha wanaume ni 50.4% na wanawake ni...
6 Reactions
60 Replies
1K Views
Salaam, Shalom!! Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani. Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi? Jina la Mungu ni nani? Karibuni 🙏
8 Reactions
395 Replies
7K Views
Habari wakuu Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa...
9 Reactions
66 Replies
887 Views
Nimemsikiliza Charles Hilary Msemaji wa serikali ya Zanzibar akisema kuwa Serikali hiyo inamiliki Ardhi huko Makurunge Bagamoyo. Hii kisheria imekaaje watanganyika wenzangu.
5 Reactions
20 Replies
522 Views
Tunaambiwa ni kosa mtu kuvaa magwanda yenye mfanano na yale ya majeshi yetu. Je, kitendo cha Makonda kuvaa kule Chuga lile jacket ni sahihi? Je, na mimi mwananchi wa kawaida nikipata kama lile...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Kwenye kujitafuta bhana nikasema niombe Uwakala wa benk ya CRDB Sasa achana na Pesa ambayo nitaweka kwenye Account kwaajili ya kazi, naambiwa mashine yao inapatikana kwa Milioni 1 hadi nilishikwa...
1 Reactions
4 Replies
5 Views
Wakuu Heshima mbele. Mimi binafsi kwanza niseme ni mtu ambaye napenda sana kusoma historia tofauti tofauti. Nimekuwa nikivutiwa na mzee wangu Mohamed Said katika maandiko yake mengi, mzee Mohamed...
11 Reactions
109 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,014
Posts
49,620,045
Back
Top Bottom