Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
5 Reactions
1K Replies
25K Views
Salam wadau. Tunaambiwa ni tatizo lilikuwa ni mkongo kukatika baharini, watu wengi hawajui mkongo ni nini unakaa wapi unatoka wapi na nani anaumiliki na nani anautengeneza huo mkongo. Mtu...
2 Reactions
17 Replies
204 Views
Ghorofa Inauzwa. Eneo: Mtoni Kijichi Ukubwa: Sqm 1250 Nyaraka: Ina Hati Miliki. Ina vyumba vinne(4), master bedrooms 2, sitting room, dining room, kitchen na public toilet. Pia Kuna boycota...
0 Reactions
1 Replies
28 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Wakuu heshima yenu! Heading inajieleza, mimi ni kati ya wale watanzania waliobahatika kuishi mikoa mingi hapa nchini, kiukweli Nchi yetu kwa kiasi chake imebarikiwa kwa uzuri nimeishi Maeneo kama...
4 Reactions
24 Replies
420 Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
63 Reactions
357 Replies
9K Views
Akiwa anahojiwa kutoka katika televisheni ya Wasafi (Wasafi TV) Waziri Nape amesema kuwa serikali haina matatizo na Starlink, kinachofanya washindwe kutoa huduma zao nchini ni sababu...
2 Reactions
11 Replies
192 Views
Sasa siwez hata ongea nikisema neno nalia.
18 Reactions
134 Replies
2K Views
Watanzania ni watu wazarendo sana kwa vitu vilivyo vya kwao! Lakini inafikia mahali wawasilishaji wanaviwasiliaha kimakosa! Uwanja pekee ambao kwa sasa umefifia na uko karibu kufa ni katika...
3 Reactions
67 Replies
4K Views
Wana jamvi, Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika. Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho...
18 Reactions
159 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,003
Posts
49,619,829
Back
Top Bottom