Ndugu zangu awali ya yote ni washukuru Wana jamiiforums wote ambao mliguswa na changamoto yangu iliyo nikuta ambayo ilipelekea kuandika Uzi uliotafsiliwa kama nimekata tamaa😭😭😭 Nahisi siku zangu...
Kwema Wadau?
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu...
Kati ya vitu ambavyo inawezekana vimewaponyoka wengi ni kuwa Rais Kikwete alipozungumzia suala la Zanzibar alijikuta ameirudisha "Nchi ya Tanganyika" kwa makusudi (haiwezekani kuwa bahati mbaya)...
Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili...
Karibuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
Nyepesi nyepesi;
Nimepata taarifa kuwa jana jumatatu makampuni yote ya simu yanayotoa huduma hapa nchini kuwa wamekaa na kujadili jinsi ya kutatua changamoto na kufidia hasara kwa watumiaji wa...
Bunge la Ukraine limepasisha muswada wa sheria inayoruhusu kukusanywa na kusajiliwa jeshini wafungwa wa nchi hiyo.
Tovuti ya habari ya Russia Today imeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, rasimu...
Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo.
Kwa anayewafahamu anisaidie
Sasa tumepata kisingizio cha mkongo wa taifa kuharibika. Tutarajie hali hii kwa miezi kadhaa kama si miaka. Ila bei itazidi kupaa.
**Ushuzi umepata mjambaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.