Kikwete kairudisha Tanganyika!! next...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete kairudisha Tanganyika!! next...?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Aug 21, 2008.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Aug 21, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  Kati ya vitu ambavyo inawezekana vimewaponyoka wengi ni kuwa Rais Kikwete alipozungumzia suala la Zanzibar alijikuta ameirudisha "Nchi ya Tanganyika" kwa makusudi (haiwezekani kuwa bahati mbaya). Aliirudisha hivyo kwa kufuata reasoning yake ambayo kwa kweli naamini ina makosa na alishindwa kutaja tatizo la Katiba tu.

  Kikwete alifafanua kuwa tarehe 26 Aprili nchi mbili huru ziliamua kuachilia sehemu ya mamlaka yake na kuunda nchi moja inayoitwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akasema kwa kufanya hivyo "nchi ya Zanzibar" na "nchi ya Tanganyika" zikakoma kuwepo na nchi moja ya Tanzania ikazaliwa (hadi hapo hana makosa).

  Akaendelea kuelezea kuwa hivyo katika mahusiano yetu ya nje na nchi nyingine sisi ni Tanzania. Hiyo ndiyo inatupa utambulisho wetu. Akasema katika "utambulisho wetu wa nje nchi ni Tanzania". Akaendelea kusema "lakini kati yetu sisi wenyewe, nchi ni Zanzibar na ya Muungano" (hapo nikahamaki.

  Kama kwa sisi wenyewe "nchi ya Zanzibar" bado ipo ndani ya huu Muungano, sasa nchi ya Tanganyika iko wapi? Ndipo nikagundua kwa urahisi tu kuwa kwa mara ya kwanza Rais wa Muungano ameelezea Tanzania Bara kama ni Tanganyika. Kuwa ni nchi iliyo sambamba na Zanzibar.

  Next question? Serikali ya Tanganyika iko wapi?
   
 2. S

  Self Scientific Member

  #2
  Aug 21, 2008
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Give us a break will you? This is akin to the the devil having a go at interpreting the Bible and as such we cannot expect anything close to a fair and square re-interpretation of the fire-and-brimstone rhetoric therein so to speak. Its best that you wait for the next mega political scandal from the CCM and/or government to unfold itself in the media, rather than bore people to death and waste everybody's time and intellectual energy on useless, petty political word play. Besides you already have more than a dozen threads running in here on a myriad of negative, anti-government and specifically anti-Kikwete themes.
   
 3. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2008
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  He has every right to vent his frustration with an impotent government and an equally impotent president. Be happy that Mzee Mwanakijiji is venting his frustration through the keyboard not taking up arms and machetes like in other countries.
   
 4. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2008
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Na ndio hapo nilipopaona kuwa sasa mambo ni mazuri zaidi kwani Raisi amekiri kuwa Zanzibar ni Nchi kauli ambayo hatujawahi kuisikia kwa kiumbe mwengine yeyote haswa wale waliokuwa wakijipendekeza kuona wasemavyo wao ndio sawa.
  Sasa machogo waliosoma lakini hawakufahamu wafahamu kuwa Zanzibar ni Nchi kamili ndani ya Serikali ya Muungano wa Jamhuri ya Tanzania.
  Hiyo ni kauli nzito na si rahisi kama wengine waonavyo kuwa amekata mzizi wa fitina bali inaonekana amefukua mzizi huo,hivyo kitu chochote ndani ya Tanzania kitajadiliwa kiusawa kama nchi mbili zilizoungana na sio sisi tuko wengi tunakula sna hivyo tunahitaji vijisenti vya kutosha ,hilo halipo,utapita udugu tu ili kuhifadhiana lakini sio kutumia hila na mbinu chafu ili kuizorotesha Zanzbar kiuchumi.
  Tumeona wabunge ,mawaziri wakisema Zanzibar sio Nchi ,ukiwauliza ni kitu gani wanakwambia ni sehemu ya Jamhuri ,ukizidi kuwauliza sehemu gani ,utawaona wanaingia mitini ,lakini Muungwana amewakea wazi kuwa Katika Jamhuri ya Tanzania Zanzibar ni nchi ,hivyo amewapatia jibu wasio jijua.
  Kila siku hapa nikiwaeleza kwamba wakati umefika wa kuimwagia maji Tanganyika ili nayo ipate kufufuka ,mnaniona kaujore na utumbo wa kuku ,sasa Muungwana ameshawasogezea nchi yenu ni nyinyi wenyewe kukamata kamba na kuinyanyua.

  Kwa kweli Muungwana kama nilivyoandika atatumia maneno ya hekima kuuleza umma wa Tanzania kuhusu zanzibar na ndio hivyo ameweka kila kitu pia akazidisha kuwa kama kuna ajenda ya siri ielezwe ,agenda hiyo atapatiwa na wananchi wanaoandaa maandamano ili kumpa kile ambacho kinaonekana kuwa siri au agenda ,na agenda hii sio mbaya kwani itawafungulia WaTanganyika Nchi yao natumai watafurahia kuiona Tanganyika inatajwa tena katika Tanzania.
  Mungu Ibariki Tanzania.
  Mungu Ibariki Zanzibar.
  Siwezi kusema Tanganyika kwa sababu haipo ,Raisi kasema Zanzibar ipo na ni Nchi.
   
 5. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2008
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,689
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nakubadiliana na wewe aliteleza alivyokuwa anaendelea zaidi lakini kwa kuwa alikuwa hasomi... nadhani mtu ambaye yuko kwa ajili ya kujua alichokuwa anaongela nili-yo-bold ndipo mwisho wa yote.

  Lakini kumbuka alianza na sijui wanazungumzia nchi kwa maana ipi... ndipo akasema kama tunaongelea kwa ndani tu! .... alichosema soverignt ndio ya Zanzibar na Tanganyika ilipotea... baada ya muungano... kwa hiyo nje tunajulikana kama Tanzania... kwa hiyo Zanzibar haiwezi kujitangaza kama nchi huru... hili lilieleweka kabisa.
   
 6. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #6
  Aug 21, 2008
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,563
  Likes Received: 3,859
  Trophy Points: 280
  Poor english, poor mind, poor vision,poor memory,poor relation, poor thinking, How you came to know that MKJJ has lots of thread? how you came to know that he is wasting his time and your ''serving yours''.Please advise what do you want us to do? U're not telling MKJJ you are telling everyone here including you!!

  "/!@#$$?&?&&*(()&&&*()))&?%$$%%%%"......SSSSSSSS!!@@$$$$$$" rudishia uone
   
 7. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #7
  Aug 21, 2008
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,563
  Likes Received: 3,859
  Trophy Points: 280
  mwingine katoka usingizini!!
   
 8. S

  Self Scientific Member

  #8
  Aug 21, 2008
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  And I have just an equal right to make it known that its unacceptable for one single individual to dominate public discourse with a persistently one-sided critical and mostly negative message against a popularly and democratically elected regime in the way that he gets room to do so in here.
   
 9. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #9
  Aug 21, 2008
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Anaezungumza hapo ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,sasa kusema kateleza unamzushia aibu ,ikiwa waZanzibari walisema Pinda kateleza ,mkaanza kupiga makelele ,leo mnarudia kitendo kilekile cha kusema Raisi kateleza inamaana WaZanzibari hawakukosea.Nashangaa !

  Kikwete amesema maneno mazuri sana ,na kuwafahamisha mambumbu kuwa Zanzibar ni Nchi na si vinginevyo. Nje ya Tanzania ,hilo halina mjdala na WaZanzibari kuwa sio nchi ,heshima kwa Raisi Kikwete ameewaeleza kwa busara na kila anaetaka kufahamu sasa atafahamu na kuweka akili yake uzuri kabisa.
  Nasubiri wakereketwa wa JF niwaone kama hawakuvaa mabuibui na kuondoka wakionekana kuwa sio kumbe ndio,maana bado hotuba sijaichambua mstari baada ya mstari neno kwa neno maana na ukina wa maana.
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Aug 21, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  panga msururu.. tatizo unakuja wakati foleni ni kubwa; don't worry though nawaachieni forum kuanzia kesho!!! ...
   
 11. S

  Self Scientific Member

  #11
  Aug 21, 2008
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Could you please be more specific and demonstrate what exactly you mean by "Poor english, poor mind, poor vision,poor memory,poor relation, poor thinking"?

  How "came"? Wow! If that's your idea of proper English, then I'm done with you.

  ??? What exactly do you mean by that ???
   
 12. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #12
  Aug 21, 2008
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,718
  Likes Received: 1,211
  Trophy Points: 280
  Walikuja wenzako hapa kuwatetea mafisadi na watawala dhaifu, wote wameshakatwa ngebe. Wamebaki kugumia tu. Unakaribishwa na spidi yako ya nguvu za soda.
   
 13. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #13
  Aug 21, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  wanabadilisha kofia tu kipara ni kile kile.. wakosoaji wangu wa hapa ni recycled material.. so nakukaribisha katika jaribio lako jingine dhaifu.
   
 14. S

  Self Scientific Member

  #14
  Aug 21, 2008
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wacha ushabiki wa kitoto wa kitoto wewe! Tangu lini kupinga ukiritimba wa maoni kwenye jukwa la umma likawa sawa na kutetea ufisadi?
   
 15. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #15
  Aug 21, 2008
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,718
  Likes Received: 1,211
  Trophy Points: 280
  Ala! Kumbe unawedha kuandika kithwaili. Karibu tena bathi. Hata wewe unawedha kutoa maoni yako ya aina yoyote alimradi ufuate sheria dha hapa jamvini. Na thithi tutaandika kukujibu.
   
 16. S

  Self Scientific Member

  #16
  Aug 21, 2008
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nishakwambia wacha utoto ndugu! Unajiabisha bure mtu mzima! Kama huna hoja kaa kimya, au siyo! Hiyo "sheria dha hapa jamvini" inaruhus pia kukaa kimya, nadhani unafahamu hiyo!
   
 17. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #17
  Aug 21, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  Yaani wewe unayekuja kupinga ukiritimba wa maoni wewe mwenyewe unaleta ukiritimba wa maoni yako? Usiwe na ukiritimba wa maoni kama hautaki kusema lolote kipimo unachompimia mwenzio, jipimie wewe mwenyewe kwanza. Kipimo hicho ni hiki:

   
 18. S

  Self Scientific Member

  #18
  Aug 22, 2008
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  ????:confused:????
   
 19. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #19
  Aug 22, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  well.. it comes with the territory.
   
 20. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #20
  Aug 22, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 135
  SS, najaribu kutafuta hoja yako kwenye hii thread lakini siioni!!
   
Loading...