Wana jamvi,
Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika. Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho...
Kwa wataalam wa bajeti na masuala ya uchumi, ni waziri gani wa fedha amewahi kukopa fedha nyingi kwa muda wa miaka mitatu ya uongozi wake kama Mwigulu Nchemba?
Kukopa siyo tatizo, je mikopo hii...
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
Ikiwemo kutangazwa na kufikishwa mahakamani nimepitia mtaani kwa watu wengi hawajalipa na hawatishiki na Hilo tangazo bado watu wengi kulipa inakuwa uzito Fulani kwanini watu hatulipi kodi kwa...
Maajabu ya lugha ya kingereza sehemu 1
Utamkaji wa maneno ya kingereza unatofautiana sana katika dunia, na hii yote inatokana na kuenea kwa lugha ya kingereza duniani.
Duniani ambapo watu wake...
Habari wakuu
Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo
Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa...
Akiwa anahojiwa kutoka katika televisheni ya Wasafi (Wasafi TV) Waziri Nape amesema kuwa serikali haina matatizo na Starlink, kinachofanya washindwe kutoa huduma zao nchini ni sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.