Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Umewahi kuona hurrier ya kijani au njano. Au umewahi kuona Land cruiser V8 new modeli ya njano. Kwa kifupi Tanzania sijawahi kuona gari ndogo za kijani.na njano
1 Reactions
12 Replies
98 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views
Moja ya inch Bora kabsa kichwani haswaa kwenye sayansi na hesabu ni south Korea. . Sadly ni kwamba wanaziliana kwa kiwango kidogo sana hii inapelekea kukosa watu bora kwenye gunduzi mbalimbali...
1 Reactions
26 Replies
133 Views
Hili limekua tatizo kubwa sana kwa simu za kitochi 4G ukiitumia baada ya muda Fulani Kanaganda yaani ukiiwasha haiwaki inaishia hapo tu kwenye "karibu tigo". Je, unaweza kutumia mbinu gani...
9 Reactions
62 Replies
5K Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Sijui kama Watanzania wengi wanajua kuwepo kwa vikao vya bunge la bajeti vinavyoendelea Dodoma. Yaani kuanzia mitaani, mitandaoni, redioni, Kwenye Luninga na magazeti hakuna habari wala mijadala...
6 Reactions
26 Replies
523 Views
Alphonce Mawazo, Kijana aliyeachana na CCM baada ya kuona kwa macho yake kwamba Chama hicho ndio nguzo kuu ya Umasikini na dhiki zote za Nchi, aliamua kujiunga na CHADEMA chama halisi ambacho ni...
17 Reactions
115 Replies
8K Views
Ni siku mpya hii, pia kwa ndugu wengine ni siku muhimu ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwao. kama umezaliwa siku kama ya leo tujuze basi maana sisi ni familia, japo hatuwezi kukumwagia maji...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Salamaleko, Shalom. Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la mpunga lina 5000. Maana yake...
8 Reactions
39 Replies
727 Views
Hakuna bin-adam yeyote awe kiongozi ana raia asiyekua na mapungufu,viongozi wote walikuwa nayo uzuri ni kwamba walifanya mengi mazuri kuliko mabaya ndio maana tunakubali kwamba walikuwa the...
8 Reactions
38 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,120
Posts
49,623,506
Back
Top Bottom