Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
33 Reactions
187 Replies
5K Views
Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu. Hivi unajisikiaje kuwa sehemu ya migogoro katika ndoa ya mwanaume mwenzako?,sawa...
10 Reactions
32 Replies
422 Views
Tunaambiwa ni kosa mtu kuvaa magwanda yenye mfanano na yale ya majeshi yetu. Je, kitendo cha Makonda kuvaa kule Chuga lile jacket ni sahihi? Je, na mimi mwananchi wa kawaida nikipata kama lile...
4 Reactions
25 Replies
884 Views
Akiwa kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo May 15, Waziri wa teknolojia na habari, Nape Nnauye ameongelea changamoto ya Internet nchini na mipango ya kuliepuka janga kama hili siku...
3 Reactions
50 Replies
986 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
25 Reactions
6K Replies
126K Views
Anzisha mgahawa weka wafanyakazi wawili tafuta eneo zuri deal na breakfast ya vyakula vya asili tu. Nunua sahani 20 za udongo na Uma 20 na vijiko 20 na sufuria 5. Mazingira yawe masafi yenye maji...
3 Reactions
8 Replies
291 Views
Wengine kila asubuhi chai Mkate wengine hupendelea Viazi mviringo kila asubuhi na wengine kiporo cha wali. Mimi Kwa mazingira ninayokuwepo asubuh siwezi kukwepa Mihogo Kama mnavojua cassava Kwa...
2 Reactions
22 Replies
122 Views
PERSONAL HYGIENE: Guys This Is Just For Common Knowledge And Understand, Kindly Share Experience. Have You Ever Accidentally 'Cut' The Upper Layer Of The 'Crocs' Skin While Trimming Your...
2 Reactions
21 Replies
244 Views
Wote hatuchagui tuzaliwe wapi ni kama karata unalamba na kuchukuwa unachopata, sasa kama karata yako uliolamba ni landlocked na umezungukwa na wenye access na bahari lkn they are dumb, kwa maneno...
1 Reactions
5 Replies
81 Views
Wahenga walishasema damu ni nzito kuliko maji,udugu ni muunganiko wenye asili ya kitu au sababu moja mfano udugu wa kuzaliwa,familia au ukoo. lakini,udugu unaweza kuwa wa kitabia mfano wapenda...
0 Reactions
2 Replies
88 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,926
Posts
49,617,727
Back
Top Bottom