Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

yaani maisha yao ni mazuri kweli na ya kifahari mno. Nyumba na vyumba wanazoishi mtaani ni za maana sana, na ndani ya nyumba zao kumekamilika kila idara, sijui wanalipwa mshahara huko vyuoni siku...
2 Reactions
12 Replies
105 Views
“Tumepokea ugeni mzito kutoka moja ya Klabu kubwa Barani Afrika, TP Mazembe ya DR Congo ambao wamevutiwa na namna Klabu yetu ya Yanga inavyoendeshwa hivyo wamekuja hapa Tanzania kujifunza mambo...
12 Reactions
109 Replies
2K Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
29 Reactions
151 Replies
3K Views
Chama Cha Mapinduzi kipo imara zaidi kwa sasa kuliko nyakati nyingine zozote zilizopita... Kinaungwa mkono na makundi maalumu karibu yote, wanawake, vijana na wazee, lakini pia kinaaminika na...
1 Reactions
44 Replies
352 Views
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
0 Reactions
42 Replies
2K Views
Watumiaji wa intaneti nchini Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda wamekuwa wakilalamikia ukosefu wa intaneti huku watoa huduma kote Afrika Mashariki wakikiri kumekuwa na tatizo. Wamesema...
5 Reactions
64 Replies
3K Views
Wakuu kuna kitu nimekuwa sikielewi, hizi nyumba za kupanga bei zinapaa sana. Unakuta nyumba ipo Kibamba au Madale unaambiwa kodi 500k unabaki unashangaa. Hivi kwa mishahara na biashara zetu hizi...
11 Reactions
42 Replies
968 Views
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana...
276 Reactions
51K Replies
18M Views
Hello, JF Nimekuwa sehemu ya Familia. Niko tayari kuchangia elimu ya juhudi dhidi ya rushwa na udanganyifu kunufaisha wadau mbali mbali. Karibu
3 Reactions
4 Replies
84 Views
Habari zenu Ba Ndugu Baada ya Kusoma sana Jamii Forums Bila Kujisajili Hatimaye Nimekuja. Mimi Mgeni Naombeni Mnipokee. Nimevutiwa na Nyuzi Nyingiii Humu, Umughaka, Mshana jr , Mtibeli , Controlla...
3 Reactions
7 Replies
126 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,878
Posts
49,616,283
Back
Top Bottom