Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
Nimemsikiliza Charles Hilary Msemaji wa serikali ya Zanzibar akisema kuwa Serikali hiyo inamiliki Ardhi huko Makurunge Bagamoyo.
Hii kisheria imekaaje watanganyika wenzangu.
Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana
Lakini mimi...
1. Ameona na kusoma messages zako ila hajajibu na yupo online (Bluetick)
2. Unamuona online ila hawezi hata kukutext, yaani mpaka wewe mwenyewe uanze kumtext
3. Mlipokuwa mnaongea kwenye simu...
Ndani ya daladala ya segerea kuelekea tabata kimanga,hali ya hewa ni mvua siku ya jana ya jumamosi.
Nimekaa siti ya kulia dirishani kabisa huku naperuzi mtandao pendwa kabisa jamii forums, baada...
Kwa wataalam wa bajeti na masuala ya uchumi, ni waziri gani wa fedha amewahi kukopa fedha nyingi kwa muda wa miaka mitatu ya uongozi wake kama Mwigulu Nchemba?
Kukopa siyo tatizo, je mikopo hii...
Mwanafalsafa, mchumi na mwanasiasa wa India ya kale, Chanakya aliwahi kusema, “There is some self-interest behind every friendship. There is no friendship without self-interests. This is a bitter...
Waziri Nape anasema wanashauriana Serikalini ama kupunguza Kodi Kwenye Simu Janja au kuweka Kodi Kwenye Vitochi (viswaswadu) Ili Watu wote waweze kumiliki Simu Janja
Huko tunakoelekea teknolojia...
Salamaleko
Shalom
Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la MPUNGA lina 5000
Maana ake gunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.