Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni.
Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of...
Tangu nipo shule ya msingi tulikuwa tunaaminishwa kwamba Mwl Nyerere ndio "icon" pekee hapa nchini, tulikuwa tunaimba nyimbo nyingi ni za kumsifu, lakini hatukuwahi kuambiwa kuwa kuna watu...
Wakuu natumai mu wazima!
Kuna wimbi la Be Forward kuleta magari mabovu ambayo yanasabibisha usumbufu mkubwa kwetu sisi wateja.
Nimenunua Alphard- nikaambiwa imefanyiwa mpaka na Inspection, na...
Kuna hizo mechi tatu wadau nataka nitie hii laki tisa mnayouona hapo vipi nitataboa au nitapotea wadau mawazo yenu muhimu kama wawekezaji kuelekea mwisho wa ligi.
Gari ipo vizuri sana
Gari ya mwaka 2022.
PRICE/BEI:122M
EXCHANGE/NAVUNJA NA GARI YOYOTE✅
FORD RANGER STORM TRACK 🛻
Year:2022
Engine Capacity:2.0cc
Engine: DIESEL TURBO
Kilometer:37055km...
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
Kwenye ukurasa wake wa X (Twiiter) Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Ndg. Nape Nnauye amesema huduma za internet zimerejea kwa 94% na sasa wanafanya jitihada huduma hiyo...
Kwanini unchallenge mtu wa rais mnaoponda waziri wa rais maana yake hapo una mchallenge rais na rais hapingwi ukimdharau mtu pengine awe na madhaifu ndo tumpelekee rais ili akae na watu wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.