Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mwanachuo kijana wa Chicago alitembea katika programu ya mahafali ya chuo kikuu chake baada ya kuweka historia kwa kupata shahada ya udaktari akiwa na umri wa miaka 17.
Dorothy Jean Tillman II...
Nimepita mitaani leo watu wako "attention" kusikiliza nini kitatokea kwenye kamati kuu ya CDM, na wengine wanasema mbona kamati inachelewesha kutoa maaximio yake. Kwa kweli Chadema hongereni kwa...
Wakati nasoma sekondari pale Iyunga tech,Mbeya kuna mambo mengi niliyashuhudia ila leo nimekumbuka moja.
Kama mnavyojua Mbeya ni baridi la kwenda hivyo kuoga ni mtiti,Kwa hiyo kuoga masela...
Kumbe Mzilankende Magufuli alikuwa hakubaliki Hadi kwao 😁😁😁
My Take: Chadema acheni kutoa Siri za Wakubwa 😂😂
====
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeeleza nia yake ya kulitwaa...
Simba SC haishindi kwa Ubora wa Kocha wa muda Mgunda bali baada ya Viongozi baadhi wa Simba SC ambao wana DNA na Yanga SC pamoja na Matajiri wao wameshamaliza Jukumu lao walilopewa. Mpango ulikuwa...
Ni Kauli nzito sana
Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema Chama kikuu Cha Upinzani sasa mbunge wa ACT wazalendo Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar kumuundia tuhuma kama hizi ni lazima vyombo vya Ulinzi...
MIMI NA MIMI
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Ysiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KWANZA
★★★★★★★★★★★★★...
Je, ulishawahi kujiuliza kwanini wahudumu wote wa mlimani city ni pisi kali?
Kwanini asilimia kubwa ya wahudumu wa ndege (air hostes) ni pisi kali?
Kwanini wahudumu wa Baa asilimia kubwa ni pisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.