Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
25 Reactions
6K Replies
125K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views
Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo? Tupia maoni yako hapo?
1 Reactions
16 Replies
282 Views
Huawei amezindua series za Pura 70 nchini China ikifungua ukurasa mwingine wa maendeleo pamoja na vikwazo vya Marekani. Ripoti zinasema simu hiyo imetumia zaidi vifaa vinavyotengezwa China kuliko...
4 Reactions
9 Replies
240 Views
Kwa muundo wa Muungano wetu, hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu, mkweli wa nafsi na asiye mnafiki, anayeweza kutetea kuwa muundo huu uliopo upo sawa sawa. Ndiyo maana watu wote maarufu, wenye...
11 Reactions
145 Replies
2K Views
Hii ni hadi lini? Mwenzenu naona umri unasonga tu lakini beki hazikabi, yaani jitihada bado hazizai matunda kila nikijaribu kujizuia.
6 Reactions
34 Replies
457 Views
Serikali imetenga bilioni 3.5 katika bajeti ya wizara ya afya kusimamia tafiti na matumizi ya matokeo ya tafiti mbalimbali katika afua za Tafiti za magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo saratani...
0 Reactions
1 Replies
22 Views
Tujikumbushe kidogo Wakati unasoma shule ya msingi wanafunzi wenzio walikuwa wanakuita jina gani la utani? na ulikuwa unalipenda au ulipendi
1 Reactions
17 Replies
204 Views
Habari, Ni muda sasa nimekuwa nikifungiwa WhatsApp hadi natamani kuifuta kabisa, kila niki submit wanaifungua baada ya masaa 24 kisha haimalizi at a dakika 5 inafungiwa tena naomba msaada.
2 Reactions
36 Replies
716 Views
(Salamu nitazitoa baada ya kumrudisha mke wangu) Kwa machungu makubwa sana naandika uzi huu. Kwa kuwa naongea leo kwakuwa nahisi maneno ni bora kuliko kukaa kimya. Nilikupenda sana wewe ila mke...
29 Reactions
141 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,616
Posts
49,608,759
Back
Top Bottom