Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu hebu fungukeni ni miaka mingapi upo kwenye biashara na je umefanikiwa kutoboa kibiashara? Na ulifanyaje kufika hapo. Nina kaduka kangu mwaka wa tano huu sioni dalili ya kutoboa japo...
7 Reactions
19 Replies
372 Views
Ikatokea umemfumania mkeo, usimuabishe mkeo. Nyamaza, acha huyo mgoni wako aondoke, kaa kitako na mkeo muongee na myamalize nyie wawili na usimtangaze popote.
3 Reactions
55 Replies
2K Views
Kutokana na changamoto za waendesha Pikipiki, nimeona niwakumbushe tena kwani wengi hufanya mzaha barabarani bila kujua kuwa Mwili wao ndio bodi ya pikipiki! 1. Usikae ubavuni mwa gari, kwa kuwa...
2 Reactions
7 Replies
110 Views
Msukuma;Tusipo angalia tutakuwa na mashoga wakupandikizwa bila kujuwa
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ukipanda daladala unaweza kugundua jambo lilelile kila siku: kila daladala inapofika kituo chenye watu wengi mlango umeshazibwa na watu ambao hawawezi kusubiri kupambana kwa vile viti vichache...
0 Reactions
14 Replies
119 Views
Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana Lakini mimi...
14 Reactions
102 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa Leo nimeona niwaelezee smartphone ilivyonipeleka polisi katika kituo ca msimbazi then njkahamishwa hadi kituo cha mbweni kilichopo bagamoyo road Tlnisiwachoshe ngoja niende moja...
5 Reactions
20 Replies
351 Views
Wasalaam ndugu zangu. Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,mimi ni mwanamke natafuta rafiki wa kiume (mwenza). Sina vigezo vingi japo nitavitaja kwa uchache kama ifuatavyo: Umri: miaka 40 na...
4 Reactions
26 Replies
151 Views
“Nape, unawaogopa StarLink. Kwanini?” February 2023, Michael Coudrey (30), Mwenyekiti na CEO Pharos Investment Group kutoka USA alimtaka C.E.O wa StarLink, Elon Musk kuhakikisha Starlink...
0 Reactions
3 Replies
45 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views

FORUM STATS

Threads
1,853,675
Posts
49,610,960
Back
Top Bottom