Nimemkuta Meya mstaafu wa Ubungo mh Boniface Jacob Kule ukurasani X akisema Yeye alikuwa Mlinzi wa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe
Imenitafakarisha sana 🐼
Niishie hapo
AZIZ ALLY MJENZI WA MISIKITI
Aziz Ally alipofariki mwaka wa 1951 muda mfupi baada ya.kutoka hijja gazeti la Tanganyika Standard katika kueleza kifo chake liliandika "Mjenzi wa Misikiti Amefariki."...
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.
2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifa na bandari kujengwa Bagamoyo...
Nimeona mdau mmoja humu anahamasisha watu wazame bush wakanunue kwa bei ndogo walete mazao mjini wauze kwa bei kubwa ili wapige pesa.
Hili wazo ni zuri sana lakini ni vyema tupeane tahadhari. Ktk...
Mara nyingi tumekuwa tukishauri viongozi vitu vya kufaya ili kusaidia maboresho katika Wizara na Serikali kwa ujumla. Sasa leo ukipewa wewe nafasi ya kuwa Waziri wa Kazi na Ajira, utafanya nini...
Nimeona watu wengi wamekua wakikumbana na changamoto za kununua ardhi na hii ni kutokana na elimu ndogo juu ya mchakato upi sahihi wa kutambua mmiliki haswa wa kiwanja husika.
Kuna hii kitu...
Mzuka Wanajamvi!
Itakuwa bonge la Mechi. Ngumu kwa shabiki wa mpira kukosa kuangalia na kufuatilia.
Hii mechi ya ligi kuu uingereza ni ya kusisimua ni Tottenham Hotspur vs Mancity ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.