Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mara kwa mara Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amelalamikia Mabango ya mh Rais Samia akiwa na Viongozi Wakuu wa Chadema mh Mbowe na mh Mnyika kwamba yanafanya Chadema ionekane kama TAWI...
1 Reactions
12 Replies
376 Views
Vatican City: Nchi? Mji? Serikali au Kampuni? Nadhani moja kati ya maeneo ambayo yamekuwa tata zaidi kuyaelewa basi ni mji wa Vatican… tukiachilia mbali kuhusu utata/ugumu wa kuelewa mfumo wake...
1 Reactions
1 Replies
29 Views
Nimekaa nikafikilia maisha yamenipiga, kazi niliyokuwa nayo haikidhi kabisa mahitaji yangu ya kila siku, nina mke, nina mtoto, ninao ndugu wanao nitegemea, baba, mama na wadogo zangu mbaya zaidi...
25 Reactions
500 Replies
53K Views
Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana. - Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta - Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu...
6 Reactions
40 Replies
224 Views
AZIZ ALLY MJENZI WA MISIKITI Aziz Ally alipofariki mwaka wa 1951 muda mfupi baada ya.kutoka hijja gazeti la Tanganyika Standard katika kueleza kifo chake liliandika "Mjenzi wa Misikiti Amefariki."...
4 Reactions
23 Replies
385 Views
Chama Cha Mapinduzi kipo imara zaidi kwa sasa kuliko nyakati nyinngine zozote zilizopita... kina kina ungwa mkono na makundi maalumu karibu yote, wanawake, vijana na wazee, lakini pia kinaaminika...
0 Reactions
5 Replies
42 Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
150 Reactions
13K Replies
4M Views
Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo. Kwa anayewafahamu anisaidie
1 Reactions
35 Replies
473 Views
Yani sikuhizi ukiangalia muvi / series utagundua kwamba wameanza kuyapa nafasi kubwa mambo flani kuonesha kwamba ni kawaida, its ok, hakuna tatizo, n.k. Kuna kijana mdogo age kama 16 yupo hapa...
1 Reactions
3 Replies
38 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,817
Posts
49,614,635
Back
Top Bottom