Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Haimaanishi kwamba wasio kunywa hawawezi kupata hayo magonjwa bali wanaokunywa kuna uwezekano mkubwa, Hata uraiani watu wanaotii sheria wanaweza kuishia jela kwa kubambikiziwa lakini ukiwa...
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Faida zake zikoje kwa wanaojua plz
0 Reactions
5 Replies
102 Views
AZIZ ALLY MJENZI WA MISIKITI Aziz Ally alipofariki mwaka wa 1951 muda mfupi baada ya.kutoka hijja gazeti la Tanganyika Standard katika kueleza kifo chake liliandika "Mjenzi wa Misikiti Amefariki."...
3 Reactions
14 Replies
233 Views
Wakuu kwema. Hili suala ni la kawaida likitokea mara moja ila likijirudia rudia tunapata wasiwasi. Imetokea kwa siku tano hadi leo navyotype kwamba nikipanda daladala konda haniombi nauli namimi...
1 Reactions
24 Replies
253 Views
Nimemsikiliza mara kadhaa mzee Makala akiwa ndani ya CCM, utumishi wa umma na sasa ndani ya CCM tena. Kuna watu wana bahati ya kupewa madaraka lakini siyo bahati ya kufanikisha malengo ya uteuzi...
0 Reactions
17 Replies
235 Views
Mara kwa mara Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amelalamikia Mabango ya mh Rais Samia akiwa na Viongozi Wakuu wa Chadema mh Mbowe na mh Mnyika kwamba yanafanya Chadema ionekane kama TAWI...
0 Reactions
5 Replies
6 Views
Wakuu nauliza tu,,,, Ishu za muungano imekua moto kuliko ishu yoyote ile kuna nn?? Nini kinachochea hii movement!!
2 Reactions
23 Replies
159 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili...
40 Reactions
106 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,800
Posts
49,614,135
Back
Top Bottom