1. Wanawake wa kichaga ukioa akiona tu una future anaanza kujiweka Loyal kwako kwa kukuaminisha yeye ni wakitofauti anataka mfanikiwe wote
2. Anakuweka karibu hadi hati zisome majina yake kupitia...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana. Na kwa Bahati nzuri akaweka kizuizi kwa kupitia uwezo wake wa kiungu hili tusiweze kushuhudia viumbe hivyo ambavyo havionekani kwa macho yetu...
Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili...
Mara kwa mara Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amelalamikia Mabango ya mh Rais Samia akiwa na Viongozi Wakuu wa Chadema mh Mbowe na mh Mnyika kwamba yanafanya Chadema ionekane kama TAWI...
NIMEJARIBU SANA KUWAZA HILO SWALA WALE WATU WANAPITA NA MAKELELE MAJUMBAN TUNANUNUA SIMU MBOVU SHIDA NN NA ZINAENDAGA WAPI ZIKINUNULIWA??
TULISHAZOEA CHUMA CHAKAVU..PESA MBOVU
HIVI SASA...
Wakuu kwema.
Hili suala ni la kawaida likitokea mara moja ila likijirudia rudia tunapata wasiwasi.
Imetokea kwa siku tano hadi leo navyotype kwamba nikipanda daladala konda haniombi nauli namimi...
Nimeona mdau mmoja humu anahamasisha watu wazame bush wakanunue kwa bei ndogo walete mazao mjini wauze kwa bei kubwa ili wapige pesa.
Hili wazo ni zuri sana lakini ni vyema tupeane tahadhari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.