Kwema Wadau?
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu...
Chief Executive Officer wa PPP Tanzania Bwana David Kafulila amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu imeamua kuzika kabisa tatizo la Umeme Tanzania.
Pamoja na Bwana la Mwl Nyerere (SG) baada ya...
NIMECHEKA SANA NIMEONA SEHEMU BEKI MMOJA ALIETUTESA SANA AAKIHOJIWA MBONA MLICHEZA VIZURI KIPINDI CHANKWANZA NN KIMETOKEA
BEKI;KIUKWELI N KAMA.MIUJIZA
YULE PACOME ALIVYOINGIZWA NA WENZIE YAAN...
Wakati Marekani kwa miaka kadhaa ikitumia mabilioni ya pesa kwenye vita, China imekuwa ikiwekeza mabilioni kwenye R&D (Research & Development)
Matokeo yameanza kuonekana sasa, utawala wa Marekani...
Katika Ukurasa wake wa tweeter Mhe David Kafulila ameandika haya:-
************************************
"Kwasasa Umuhimu wa kutumia nishati mbadala hauna mbadala,
Tanzania sasa ni...
Habari ndiyo hiyo. Hizi juhudi za Mbowe aondoke, ni mkono wa chuma wanaouogopà. Wanasubiri uanguke washangilie. Msiruhusu kitu kama hicho.
Msiwe wepesi wa kusahau. Mnadhani Mashinji ( nadhani...
Mbunge wa Geita Vijijini Dr Musukuma amehoji " kama bunge halina meno sasa tuko humu Ndani kufanya kitu gani?"
Musukuma amedai tangu enzi za Kafulila aliyeitwa Tumbiri, tukaambiwa ni vihela vya...
Mwamposa ni motooo!
Taifa linatetemeshwa kwa miujiza mbalimbali ambayo kila leo Mungu anawatendea watu wake kwa njia ya Mtume wake mtakatifu!
Majuzi alikuja Mtwara na wengi wameponywa, pepo...
Mkurugenzi wa Ubia nchini Bw David Kafulila ameliambia Taifa kuwa sera, Kanuni na Sheria zilizoanzisha PPP zimekuwepo hata kabla ya Ujio wa awamu ya Sita ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.