Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo.
Kwa anayewafahamu anisaidie
Vatican City: Nchi? Mji? Serikali au Kampuni?
Nadhani moja kati ya maeneo ambayo yamekuwa tata zaidi kuyaelewa basi ni mji wa Vatican… tukiachilia mbali kuhusu utata/ugumu wa kuelewa mfumo wake...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mobility kwa siku abiria (600x2) pw mojan na mashirika mengine kama...
Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana.
- Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta
- Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema idadi ya Vifo vya Wajawazito vimepungua kutoka Vifo 556 vilivyotokea mwaka 2016 hadi kufikia Vifo 104 kwa kila Vizazi Hai 100,000
Akiwasilisha Bajeti ya...
Wanaiita Zindolin, kuna siku nilipimwa nikakutwa na typhod ile kuandikiwa nikanywa kidogo nikapona ila vidonge nikaviweka bila kujua
Siku nimeenda kijijini usiku nikapata tumbo la kuhara kma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.