Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Zama hizi, utambulisho mkubwa wa CCM kwa jamii ni UOVU. CCM inaonekana ni chama ambacho kipo kwaajili ya kujenga, kulinda na kuendeleza uovu na waovu: 1. UKOSEFU WA UZALENDO: Watuhumiwa wote wa...
6 Reactions
25 Replies
399 Views
Leo kuna shida kubwa sana ya mitandao yote ya simu tangu saa nne. Nimejikuta nayakumbuka madishi ya Elon Musk ya Starlink. NDUGU ZANGU TOA USHAURI USITUKANE ==== Pia soma: Mitandao ya simu...
15 Reactions
153 Replies
7K Views
Wakuu haya haya haya amkeni kumekuchwa Msiseme sikuwaambia Hatimaye nimeanza kutimiza ile ndoto ya kujenga ghorofa na kwa kuanzia nimeshaleta kifusi kimoja cha mchanga. Nilipata kijisenti hapa...
11 Reactions
66 Replies
2K Views
Wakuu habari.... Nahitaji huduma ya kusafirisha mzigo mkubwa kutoka mbeya kwenda mwanza tarehe 14 mpaka 1 may 2024 kama kuna mtu ana lori na ana safari ya mbeya mwanza ama yeyote anayehusika...
0 Reactions
0 Replies
2 Views
Nawezaje nikaacha uvivu katika majukumu ya kazi na shughul nyingine?
2 Reactions
39 Replies
503 Views
Kwa hali hii, huyu mwalimu anaweza kupata akili ya kufundisha watoto darasani waweze kufaulu? Huwa anaishije?
9 Reactions
51 Replies
2K Views
Huwezi ita swala la internet jina zuri hivyo halafu kumbe hata internet yenyewe huimiliki. Taifa la watu zaidi ya milioni 50 tunashindwa kuwa na internet yetu wenyewe? Akitokea kichaa mmoja tu...
1 Reactions
9 Replies
242 Views
Maono na kiu ya watanzania wengi kuona viwanda vikishamiri ktk nchi yetu.Na pia Ni Maono na kiu ya Mh Rais wetu kuendelea kuzindua viwanda vikubwa vya kimkakati hivyo kuchochea ukuaji wa uchumi...
2 Reactions
8 Replies
276 Views
Wana jamvi, Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika! Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho...
11 Reactions
103 Replies
2K Views
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
0 Reactions
11 Replies
760 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,630
Posts
49,609,383
Back
Top Bottom