UTANGULIZI
Ni kwa njia ya michezo ya kubahatisha yaani betting.
Wengi watasema betting ni kamari, sawa, lakini kwa bahati mbaya au nzuri kila kitu maishani ni kamari especially kwa sisi ambao...
Mashirika kadhaa ya ndege yameathirika pakubwa kwa ukosefu wa internet. Kwenye Uwanja wa JNIA, ndege kama Emirates, KLM, Swiss na Air France zililazimika kuchelewa kutokana na kukosekana na...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili...
Salaam! Kama members wa JF ni wengi siyo mbaya na sisi wengine tuwe tunaanzisha uzi kuliko kila ukiingia unakutana na nyuzi za watu wale wale!
Uzi Mkuu!
Kila nikijaribu kuangalia mahudhurio...
Ndugu zangu wenye Usikivu Hafifu. Mmewezaje kutoka kimaisha? Mwenzenu naona mambo magumu sana. Kazi sina, zingine napata wananitosa, mtaji sina, mpenzi sina.
Natamani nikimbilie South Africa...
Siku za hivi karibuni chama cha upinzani chadema kimeanza kufanya chaguzi zake za ndani,yapo makandokando mengi sana yameibuka kwenye zoezi hilo.
Miongoni mwa kashfa zilizoibuliwa ni nzito hasa...
Zama hizi, utambulisho mkubwa wa CCM kwa jamii ni UOVU. CCM inaonekana ni chama ambacho kipo kwaajili ya kujenga, kulinda na kuendeleza uovu na waovu:
1. UKOSEFU WA UZALENDO:
Watuhumiwa wote wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.