HAKIMI APATA CHOMBO MPYA
Staa wa Morocco na klabu ya PSG anayesifika kwa kuwanyoosha wanawake matapeli ametajwa kupata mchumba mpya ambaye pia ni mchezaji wa timu ya wanawake wa klabu ya PSG...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Habari za siku ndugu wanajamvi. Kama ilivyo katika kichwa Cha thread hapo juu, nataka niende kulima ngano katika wilaya ya Sumbawanga.
Naomba Ushauri wenu hapo Kwa wote, ili niingie katika...
point yangu sio kutegemea uje kutunzwa na watoto, ni kwamba ukizeeka muda mwingi watoto wako watakuwa karibu na mama yao kuanzia kumjulia hali, kumsaidia, kumpa faraja na hata kwenye simu unakuta...
Nyepesi nyepesi;
Nimepata taarifa kuwa jana jumatatu makampuni yote ya simu yanayotoa huduma hapa nchini kuwa wamekaa na kujadili jinsi ya kutatua changamoto na kufidia hasara kwa watumiaji wa...
Ndugu wanajukwaa, natumaini mnaendelea vizuri katika harakati za hapa na pale za kujikwamua kiuchumi.
Bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye hoja husika:
Siku za nyuma hivi karibuni Tume...
Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria.
Amedai utafiti...
Wakuu kama thread inavojieleza either kulingana na uzoefu wako au umeskia ndugu jamaa wanasema tupate, mkombozi wa mapishi kwa umeme.
Induction cooker
Multi Cooker
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mobility kwa siku abiria (600x2) pw mojan na mashirika mengine kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.