Ndugu zangu Watanzania,
Hakika ni mtetemo wa furaha, shangwe, tabasamu, nderemo ,vifijo na matumaini makubwa sana katika mioyo ya watanzania. Hii ni baada ya Rais samia mama wa shoka, chuma cha...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwa takwimu za mwisho maambukizi mapya ni watu 163k (2023)
Mwaka wa nyuma yake yalikuwa watu 182k (2022)
Mwaka juzi 198k (2021)
Maana yake kila mwaka kuna zaidi ya maambukizi mapya 150k...
Awali ya yote natumaini wananchi wenzangu wote mpo salama.
Ndani ya kipindi hiki cha miezi miwili kumeibuka mjadala mkali ukihusu changamoto za muungano kutoka pande zote mbili za muungano. Mda...
Habari!
Nilipomaliza form 6 zikatoka nafasi za kwenda jeshi wanaita "kwa mujibu" basi nikaangaza macho yangu kwenye orodha nikaona "Ephen - Rukwa"
Basi nikafurahi sana, furaha haikua kwasababu...
Nyoka ni alama ya Tiba na Uponyaji ndo maana taasisi nyingi za Tiba hutumia nemboya Nyoka. Hata Shirika la Afya Duniani WHO linaumia nembo ya nyoka, waganga wa jadi wanafuga nyoka wa kutosha, hata...
Kwa muundo wa Muungano wetu, hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu, mkweli wa nafsi na asiye mnafiki, anayeweza kutetea kuwa muundo huu uliopo upo sawa sawa.
Ndiyo maana watu wote maarufu, wenye...
Bwana Rick Slayman amefariki dunia baada ya kupandikiziwa figo ya nguruwe aliyokaa nayo miezi miwili.
=====
Slayman had also been living with Type 2 diabetes and hypertension for many years...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.