Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam! Kama members wa JF ni wengi siyo mbaya na sisi wengine tuwe tunaanzisha uzi kuliko kila ukiingia unakutana na nyuzi za watu wale wale! Uzi Mkuu! Kila nikijaribu kuangalia mahudhurio...
0 Reactions
3 Replies
71 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views
Habari Wadau, Naomba kujua rufaa waliyokata Yanga dhidi ya Mamelodi kuhusiana na maamuzi ya Mwamuzi kukataa goli la Azizi K kwenye mechi ya robofainali mkondo wa pili huko Afrika Kusini majibu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mara nyingi kwenye suala la kuoa wanaume tunaangalia tabia na mtazamo wa mwanamke na sio muonekano. Asilimia kubwa ya wanawake wenye maumbo ya kuvutia huwa tunawatamani lakini hatuwawazii sana...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
GAMONDI IS PATHETIC OF A MANAGER. #FACTS Sababu ni hizi 1. AKILI ZA SUBSTITUTION HANA KABISA, leo nimejua hata ajui wachezaji wake completely ni kama he lost his mind adding to that, he has no...
10 Reactions
227 Replies
8K Views
Wakuu, Tufahamu kwamba Simba ndie mfalme wa nyika, ana uwezo wa kuwinda chochote kile na akafanikiwa hata Kama kinamzidi umbo na Nguvu. Nnachojiuliza, Kwanini huwa hawawindi FARU na kuwatumia...
3 Reactions
30 Replies
759 Views
Mkazi wa Dar es Salaam, Denis Mfumbulwa mwenye miaka 44 amefikishwa mahakama ya mwanzo ya Kariakoo akidaiwa kujipatia malazi na chakula kwenye hoteli ya Serena kitapeli vyenye thamani ya milioni...
24 Reactions
47 Replies
1K Views
Chief Executive Officer wa PPP Tanzania Bwana David Kafulila amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu imeamua kuzika kabisa tatizo la Umeme Tanzania. Pamoja na Bwana la Mwl Nyerere (SG) baada ya...
11 Reactions
107 Replies
2K Views
Ni muda wa kurudia misingi ya zamani . Ardhi kubwa yenye rutuba ipo .
0 Reactions
0 Replies
1 Views
___________________________ Tuwafundishe watoto wetu kazi kuanzia nyumbani mpaka shuleni. Tuwalee watoto wetu kama binadamu na siyo kama mifugo. Zamani shamba la mwalimu lililimwa na wanafunzi...
0 Reactions
4 Replies
43 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,595
Posts
49,608,176
Back
Top Bottom