Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo imeripotiwa kuwepo kwa kukatika kwa mawasiliano lililotokana na hitilafu baharini unapopita mkonga wetu wa Taifa. Mitaandao yote ya mawasiliano imekuwa down kwa muda kiasi na hadi sasa...
1 Reactions
6 Replies
70 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
Pamoja na Mtandao kutatizika bado tunasubiri Kamanda Erythrocyte wa Ufipa st utujuze kilichojiri pale Chadema HQ mikocheni kwenye CC Makamu Mwenyekiti mh Tundu Lisu alionekana kuvaa T-shirt ya...
2 Reactions
19 Replies
996 Views
Taifa pekee lenye lami zilizopigwa rangi ni Qatar.
0 Reactions
4 Replies
228 Views
Nilimuoa mke wangu miaka 25 iliyopita akiwa na watoto wawili wa kiume aliowapata kwenye ndoa yake ya awali. Niliwapenda sana wale watoto na kuwachukulia kama watoto wangu kabisa na hakuna...
6 Reactions
40 Replies
757 Views
Shirika la Ndege nchini limesitisha safari za kwenda China hadi 16 mwezi October kutokana na hitilafu za kiufundi Abiria wenye ticket watasafiri na Qatar Airways Source: Swahili Times Jumaa...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Viwanja vyote vya soka hapa kwetu vilivyopewa majina ya watu ni majina ya wanasiasa tu. Benjamini mkapa Ali Hassan Mwinyi Sokoine Amri Abeid Karume.....etc, nasasa uwanja unajengwa Arusha, hata...
3 Reactions
8 Replies
270 Views
Jamaa ni bodaboda hapa Dar es salaam, juzi kaenda na boda yake mpaka Serena Hotel ili akatoe nuksi a.k.a kuushitua umaskini. Kaagiza Biriani 40,000 na soda ya Mirinda kwa sh. 6500 jumla kuu ikawa...
0 Reactions
1 Replies
19 Views
Mfumo huu ni mzuri ila una changamoto nyingi, juzi nilienda CRDB bank kutaka kuchukua mkopo wakaniambia niombe kwa kutumia mfumo wa Serikali wa watumishi wa umma. Nikajisajili vizuri ila chaajabu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme. Airtel SME. Tigo postpaid Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa...
170 Reactions
9K Replies
1M Views

FORUM STATS

Threads
1,853,354
Posts
49,601,411
Back
Top Bottom