Mkurugenzi wa Ubia nchini Bw David Kafulila ameliambia Taifa kuwa sera, Kanuni na Sheria zilizoanzisha PPP zimekuwepo hata kabla ya Ujio wa awamu ya Sita ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan...
-unaweza kujikuta unakuwa sio mfanya mazoezi Tena sababu Kuu ikiwa ni simu kuniletea Dunia karibu vitu kama vyote live sasa muda wa kujiweka fit umechukuliwa.
-unaweza kujikuta wengi wa vijana...
Karibuni Kwa Live updates za mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara kati ya Mtibwa Sugar (wenyeji) dhidi ya Mabingwa watetezi , Young Africans sc. Mchezo utaanza leo saa kumi jioni, Katika uwanja wa...
Siku za hivi karibuni chama cha upinzani chadema kimeanza kufanya chaguzi zake za ndani,yapo makandokando mengi sana yameibuka kwenye zoezi hilo.
Miongoni mwa kashfa zilizoibuliwa ni nzito hasa...
Wasalaam,
Sehemu kubwa ya jamii haijui sheria mbalimbali hivyo, hushindwa kuchukua hatua dhidi ya wanaovunja sheria hizo na kuharibu ustawi wa jamii ya makundi yote.
Kusambaza maudhui mbalimbali...
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
Jamaa naona anaimba Pure Swahili Gospel kali sana ni muimbaji mzuri sana na anachonifurahisha ameacha lugha yake ya kinyarwanda kakichagua kiswahili kufikisha ujumbe wake last time nilijua ni...
Wakuu kunasiku nilipost humu kuhusu Hydroponic techinology, Ila kama ilivyo kawaida yetu thread kama hizi huwa watu wanapotezea, Ila ukweli ni kwamba hii tekinolojia ni nzuri sana na inaweza kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.