Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari! Nilipomaliza form 6 zikatoka nafasi za kwenda jeshi wanaita "kwa mujibu" basi nikaangaza macho yangu kwenye orodha nikaona "Ephen - Rukwa" Basi nikafurahi sana, furaha haikua kwasababu...
139 Reactions
1K Replies
460K Views
Kwa muundo wa Muungano wetu, hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu, mkweli wa nafsi na asiye mnafiki, anayeweza kutetea kuwa muundo huu uliopo upo sawa sawa. Ndiyo maana watu wote maarufu, wenye...
5 Reactions
22 Replies
608 Views
Nataka nidownload nizijaze kwenye flash niwe nazigonga asubuhi na jioni wakati nafanya home workout. Msaada tafadhali waungwana!
4 Reactions
49 Replies
566 Views
Shirika la Uchunguzi la Mitandao la NetBlocks limesema changamoto ya Ukosefu wa Internet umezikumba Nchi zote za Africa Mashariki na Jirani zao. NetBlocks wamesema nchi 12 zimeathirika japo...
1 Reactions
6 Replies
149 Views
Jamani katika harakati za kutafuta kazi, vibarua na ajira rasmi. Wengi tumeangukia sekta binafsi. Aloo huku watu wanasota mbaya, kuna viwanda hapo vingunguti malipo ni bukutano per day. Unaingia...
19 Reactions
45 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi,mlishawahi kujiuliza hawA wanawake waliojichubua NI Nani atakayewaoa?😂😂 Mwanamke ukijichubua jua kuwa huji kuolewa kamwe,hii ni kwa sababu hakuna mwanaume anapenda mwanamke...
12 Reactions
31 Replies
600 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
  • Sticky
Full name: Arsenal Football Club Nickname(s): The Gunners Founded: 1 December 1886 League: Premier League Website: arsenal.com Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
139 Reactions
155K Replies
8M Views
Kwa takwimu za mwisho maambukizi mapya ni watu 163k (2023) Mwaka wa nyuma yake yalikuwa watu 182k (2022) Mwaka juzi 198k (2021) Maana yake kila mwaka kuna zaidi ya maambukizi mapya 150k...
7 Reactions
72 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,476
Posts
49,605,237
Back
Top Bottom