Wale mabingwa wa Uchumi, Siasa na Internet naomba kuelimishwa nini maana ya nchi kuwa huru hasa sisi wa Africa na ndugu zetu wa Ulaya Mashariki
Sina mengi niko Hapa kujifunza huku nikiwaombea...
TANZANIA MPYA BILA USUGU WA VIMELEA VYA MAGONJWA DHIDI YA DAWA ZA ANTIBIOTIKI (ANTIBACTERIAL RESISTANCE)
UTANGULIZI;
usugu wa vimelea ni hali na uwezo wa kimelea kuzidi kukua na kuongezeka...
#nguvumoja#
VIKOSI VINAVYOANZA.
AZAM FC
SIMBA SC.
Updates...
Timu zote mbili zimeshaingia Benjamin Mkapa.
Wanajiandaa kuanza mazoezi ya kupasha misuli.
Updates....
04'
Azam wanajaribu...
Jana zimefanyika interview mbalimbali nchini kwa kada tofauti kwa njia ya mtandao. Lakini mtandao ulisumbua, kuna watu hawakusubmit kazi zao wakaambiwa na wasimamizi kuwa kazi zao ziko ziko...
Mbunge wa Geita vijijini mh Msukuma ameishauri serikali iachane na kufanya Biashara na badala yake Biashara ziachiwe sekta binafsi
Dr Msukuma alikuwa analia na kampuni ya Tanoil ambayo CAG...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mahusiano yana siku 3 nikamwambia Jmosi tuvunje amri ya 6 akasema mpaka nimzoee nijiridhishe kama ana tabia njema naye pia ajiridhishe ndipo tufanye. Hivi mtu munaishi mitaa tofauti muchunguzane...
Kwa mawazo yangu kati ya walimu wakuu ambao wanahitaji nishani za kitaifa ni Mwalimu mkuu wa zamani wa Ilboru. Huyu ndiyo alifanya Ilboru kuwa shule ambayo kwa miaka yote ni ya kipekee kwa kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.