Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bado kuna umuhimu wa back up ya Hardcopy katika maswala yote ya kiserikali na kijamii ili kuepuka kusimama kwa huduma na mengineyo. Hili ni somo kubwa kwa wanausalama nchini. KWA HISANI YA MTU...
7 Reactions
9 Replies
403 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
267 Reactions
164K Replies
5M Views
Wakuu habarini...??niende kwenye mada moja Kwa moja. Nimejaribu kupambana na haya maisha toka nimalize chuo mwaka 2018 lakini mpaka sasahivi bado sijajipata. Lengo langu nilitaka nipate maisha...
2 Reactions
9 Replies
33 Views
Hii imeenda nasema hii imeenda kabisa eti Nini nipoooo kwakweliiii 🤣🤣
4 Reactions
36 Replies
555 Views
Hii mitindo ya wasanii kujifanya wana pesa sana, halafu wakiugua wanapitisha mabakuli ya michango, inakera sana.
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views
Zipo Apps mitandaoni zinahamasisha ushoga ambapo zinaunganisha watu walio eneo moja mfano Sinza. Ukiingia humo dakika 10 nyingi mtu anakuja na Bodaboda ulipo huku anahema juu juu na unapata wa...
13 Reactions
151 Replies
20K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Nilimuoa mke wangu miaka 25 iliyopita akiwa na watoto wawili wa kiume aliowapata kwenye ndoa yake ya awali. Niliwapenda sana wale watoto na kuwachukulia kama watoto wangu kabisa na hakuna...
8 Reactions
44 Replies
1K Views
Baada ya kuona kwenye Habari Serikali imeanzisha Mfuko wa Nishati Safi ya Kupikia nikaona ni vema tuangalie kwa nchi Yetu Nishati hio ni ipi na ni vipi itatufaa, ili tusije kuingia gharama ambazo...
19 Reactions
67 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,413
Posts
49,603,856
Back
Top Bottom