Kiongozi wa hovyo ametugharimu mpaka sasa baadhi ya mitandao imeshindwa kutoa huduma ya intaneti.
Mambo kibao hayaendi, leo tunaingia ofisini na hatuna cha kufanya sababu ya huyu Waziri mmoja...
Wanabodi,
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!.
Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive...
Ni yule #DeMostAdmired Wa Mercy.
Nimependa pia nishee experience hii na ninyi ndugu zangu wa JF. Nahisi tutapata vitu flani flani.
Nashea hii kujaribu kuwapa shuhuda juu ya nature ya jinsi gani...
Kwa takwimu za mwisho maambukizi mapya ni watu 163k (2023)
Mwaka wa nyuma yake yalikuwa watu 182k (2022)
Mwaka juzi 198k (2021)
Maana yake kila mwaka kuna zaidi ya maambukizi mapya 150k...
MAMBO AMBAYO WANAUME TUNAKOSEA NA KUJIKUTA KATIKA MAHUSIANO/ NDOA INAYOKUTESA
Na Comrade Ally Maftah
Leo nime wiwa kugusia mambo ambayo wanaume tunayakosea na kujikuta kwenye mahusiano ya mateso...
Khanga Kubwa kutoka Zanzibar zipo.
Bei ya rejareja sh 20,000.
Bei ya jumla sh 19,000 kuanzia 3.
Tunapatikana tabata kinyerezi, dar es salaam.
Biashara ni ya Mtandaoni, Ukihitaji tunafanya...
Habari!
Nilipomaliza form 6 zikatoka nafasi za kwenda jeshi wanaita "kwa mujibu" basi nikaangaza macho yangu kwenye orodha nikaona "Ephen - Rukwa"
Basi nikafurahi sana, furaha haikua kwasababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.