Msaada: Kuhusu Interviews za MDA

Hustler89

Member
Apr 7, 2024
68
173
Jana nimeenda kufanya interview ya MDA leo nimekuta wamenichagua niende next step yani oral.

Nauliza kama oral pia inafanywa online?
IMG-20240513-WA0002.jpg
 
jana nimeenda kufanya interview ya MDA leo nimekuta wamenichagua niende next step yani oral, nilikuwa nauliza kama oral pia inafanywa online??View attachment 2989075
Ndiyo. Kwa nchi za wenzetu oral inaweza kufanyika online. Hata vaadhi ya mashirika ya kimataifa hufanya online.

Lakini nchini kwetu Oral interview mara nyingi hufanyika haswa face to face.

Jiandae na jiweke poa. Angalia hapo kwenye timetable utaambiwa lini na wapi itafanyika.

Kila la kheri Mkuu.
 
Wanatakiwa watu wangapi na mmeombwa wangapi?
Unamjua au anakujua nani? Umetanguliza nini? Au unaendaendatu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom