Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

MAMBO AMBAYO WANAUME TUNAKOSEA NA KUJIKUTA KATIKA MAHUSIANO/ NDOA INAYOKUTESA Na Comrade Ally Maftah Leo nime wiwa kugusia mambo ambayo wanaume tunayakosea na kujikuta kwenye mahusiano ya mateso...
0 Reactions
9 Replies
254 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Nataka nidownload nizijazs kwenye flash niwe nazigonga asubuhi na jioni wkt nafanya hom workout Msaada tafadhali waungwana!!
2 Reactions
9 Replies
10 Views
Wanabodi, Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!. Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive...
37 Reactions
183 Replies
14K Views
Khanga Kubwa kutoka Zanzibar zipo. Bei ya rejareja sh 20,000. Bei ya jumla sh 19,000 kuanzia 3. Tunapatikana tabata kinyerezi, dar es salaam. Biashara ni ya Mtandaoni, Ukihitaji tunafanya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kwa takwimu za mwisho maambukizi mapya ni watu 163k (2023) Mwaka wa nyuma yake yalikuwa watu 182k (2022) Mwaka juzi 198k (2021) Maana yake kila mwaka kuna zaidi ya maambukizi mapya 150k...
2 Reactions
24 Replies
371 Views
Habari! Nilipomaliza form 6 zikatoka nafasi za kwenda jeshi wanaita "kwa mujibu" basi nikaangaza macho yangu kwenye orodha nikaona "Ephen - Rukwa" Basi nikafurahi sana, furaha haikua kwasababu...
138 Reactions
1K Replies
459K Views
jana nimeenda kufanya interview ya MDA leo nimekuta wamenichagua niende next step yani oral, nilikuwa nauliza kama oral pia inafanywa online??
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Habari za wakati huu, nahitaji typewriters kadhaa, kwa mwenye nazo anipe location na mawasiliano ili tufanye biashara. Nawasilisha
0 Reactions
3 Replies
68 Views
Nimekuwa nikifuatilia wananchi wa Mkoa wa Arusha wakitoa kero zao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu Makonda. Kwa asilimia kubwa lazima sheria zifuatwe na Mkuu wa Mkoa hayuko juu ya sheria...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,458
Posts
49,604,680
Back
Top Bottom