Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Karibuni Kwa Live updates za mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara kati ya Mtibwa Sugar (wenyeji) dhidi ya Mabingwa watetezi , Young Africans sc. Mchezo utaanza leo saa kumi jioni, Katika uwanja wa...
12 Reactions
116 Replies
3K Views
-unaweza kujikuta unakuwa sio mfanya mazoezi Tena sababu Kuu ikiwa ni simu kuniletea Dunia karibu vitu kama vyote live sasa muda wa kujiweka fit umechukuliwa. -unaweza kujikuta wengi wa vijana...
3 Reactions
7 Replies
91 Views
1. Wizi wa mafuta kigamboni 2. Mchimba Madini Mtwara 3. Mtandao wa POS fake katika halmshauri Hakuna kazi life is not fair.
0 Reactions
3 Replies
79 Views
Mkurugenzi wa Ubia nchini Bw David Kafulila ameliambia Taifa kuwa sera, Kanuni na Sheria zilizoanzisha PPP zimekuwepo hata kabla ya Ujio wa awamu ya Sita ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan...
2 Reactions
22 Replies
96 Views
Kwa muundo wa Muungano wetu, hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu, mkweli wa nafsi na asiye mnafiki, anayeweza kutetea kuwa muundo huu uliopo upo sawa sawa. Ndiyo maana watu wote maarufu, wenye...
8 Reactions
102 Replies
2K Views
Zamani ilikua ngumu sana kupata mtaji wa kuanzisha biashara tofauti na wakati huu wa kidigital. Fanya mambo yafuatayo unaweza kupata mtaji ukaanzisha biashara zako mwenyewe na maisha yakasonga...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo? Tupia maoni yako hapo?
0 Reactions
12 Replies
207 Views
Patriarchy ni mfumo dume, mfume huu asilimia kubwa ya maamuzi na umiliki unakuwa chini ya mwanaume, huu ni mfumo wa kijamii ambao unaoperate katika nyanja zote za uchumi, siasa na sekta zengine...
2 Reactions
7 Replies
113 Views
Kuna mazungumzo yanaendelea kuhusu kampuni ya uchimbaji madini ya BHP kutaka kuinunua kampuni ya uchimbaji madini ya Anglo America. Kwa Tanzania Anglo America inamiliki mgodi wa Geita Gold Mine...
4 Reactions
8 Replies
208 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views

FORUM STATS

Threads
1,853,531
Posts
49,606,999
Back
Top Bottom