Hizi ni baadhi ya kumbi za dansi na starehe miaka ya 80s na mwanzoni mwa miaka ya 90s jijini Dar
1.Wapi wapi's - Chang'ombe
2. Mundo bar - Temeke
3. Dimax bar - Tandika
4. Mango bar - Tandika...
"Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi...
Hebu sikiliza hizi ngoma mbili kwenye Sabufa, music system au whatever yenye Base la haja..!!
1. Vile Nataka Demu Ft. Mabantu
2. Nyumbani Ft. Wanangu 99 & Baba levo.
Hoya P.Funk karudi...
Kwa muundo wa Muungano wetu, hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu, mkweli wa nafsi na asiye mnafiki, anayeweza kutetea kuwa muundo huu uliopo upo sawa sawa.
Ndiyo maana watu wote maarufu, wenye...
Wajuzi msaada.
Nimepakua WhatsApp lakini mtandao unagoma ku-verify.
Nimeshindwa kupata verification code kwa sms wala kwa call.
Msaada! Mbinu mbadala.
Tunakosa hela jamani!
Jana Yanga wamepoteza dhidi ya Belouizdad kwa kufungwa goli tatu kwa bila. Kimpira, Yanga alicheza soka safi sana na walikuwa wanapiga mipira ya kasi sana ila safu ya ulinzi ikawa inajisahau sana...
Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana
Lakini mimi...
Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni.
Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.