Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mahusiano yana siku 3 nikamwambia Jmosi tuvunje amri ya 6 akasema mpaka nimzoee nijiridhishe kama ana tabia njema naye pia ajiridhishe ndipo tufanye. Hivi mtu munaishi mitaa tofauti muchunguzane...
5 Reactions
14 Replies
496 Views
Bajeti ya Serikali ya Kenya 2024/25 imeruhusu mazao ya Kilimo kutoka Tanzania kupata Ushindani wa Haki kwenye Soko la Kenya Kwa awamu zilizopita pamekuwepo na ugumu kwa wakulima wa Tanzania kuuza...
1 Reactions
2 Replies
42 Views
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umesema Leo hautapokea Wageni iwe una miadi ama la kutokana na Changamoto ya Intaneti Source Ayo TV
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari za mida hii?? Namshukuru mwenyezi Mungu kwa kuni ruzuku uhai. Mara kadhaa nimeskia wanaume wenzangu wakilalamika kuwa wake zao hawaamini kabisa kuwa hawana hela katika kipindi chao cha...
1 Reactions
8 Replies
112 Views
Habarini wakuu! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nina changamoto hiyo; siwezi kamwe kurudia tendo nikiwa na mwanamke mmoja......yaani nakuwa mtu wa bao moja tu chali hata nifanye au anifanyie...
2 Reactions
10 Replies
120 Views
70000 tonnes of White Maize Looking for bulky buyers USD337 X warehouse per MT
0 Reactions
0 Replies
1 Views
  • Suggestion
MFUMO UTAKAO SAIDIA KURIPOTI MATUKIO YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA NCHINI Kutokana na ongezeko kubwa la matukio ya unyanyasaji wa kijinsia nchini serikali ianzishe mfumo maalumu utakaotumiwa na...
0 Reactions
1 Replies
9 Views
Mimi ni mwanamume, nina mke na watoto wawili, naipenda sana familia yangu. Mimi ni mfanyakazi na katika kazi ninayoifanya huwa natoka saa kumi na mbili jioni na hupendelea kurudi nyumbani mapema...
27 Reactions
203 Replies
9K Views
Niliposoma Vitabu Kadhaa Vinavyoelezea MAPEPO (Demons) Kikiwemo Kile Cha Dag Hewald Mills Kinachoitwa "Demons And How To Deal With Them" Nilijifunza Kuwa Kumbe Mapepo Yamegawanyika Kulingana na...
14 Reactions
75 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,444
Posts
49,604,243
Back
Top Bottom