Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu hebu fungukeni ni miaka mingapi upo kwenye biashara na je umefanikiwa kutoboa kibiashara? Na ulifanyaje kufika hapo. Nina kaduka kangu mwaka wa tano huu sioni dalili ya kutoboa japo...
5 Reactions
14 Replies
116 Views
Ndugu zangu Watanzania, Tunamshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na Fadhili kwa kumsafirisha na kumfikisha Salama Nchini Ufaransa Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania...
0 Reactions
5 Replies
63 Views
wadau wa kuweka mkeka na kubet embu tupeane hints za mechi za leo ilituweze kupiga hela za chapchap! Mechi za leo na kesho ni nyingi hasa kama utaziunganisha!
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari Wadau, Hii mila ya wanaume kuwatongoza wamawake imepitwa na wakati. Yaani unakuta dada anakufuata bra bra kibao, mara simu yangu inasumbua narekebishie, mara nimekufananisha mara hivi...
4 Reactions
19 Replies
348 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Kuna mazungumzo yanaendelea kuhusu kampuni ya uchimbaji madini ya BHP kutaka kuinunua kampuni ya uchimbaji madini ya Anglo America. Kwa Tanzania Anglo America inamiliki mgodi wa Geita Gold Mine...
1 Reactions
1 Replies
58 Views
Eti ili Mwanaume uwe vizuri na Nguvu za Kiume ziwe nyingi unatakiwa kutafuta Boga kisha unaweka Mafuta ya Kupikia uncchanganya na Vitunguu na wakati ukiwa Unavikaanga unachanganyia na Maziwa ya...
0 Reactions
8 Replies
107 Views
Mbunge wa Geita vijijini mh Msukuma ameishauri serikali iachane na kufanya Biashara na badala yake Biashara ziachiwe sekta binafsi Dr Msukuma alikuwa analia na kampuni ya Tanoil ambayo CAG...
31 Reactions
60 Replies
3K Views
Kwa muundo wa Muungano wetu, hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu, mkweli wa nafsi na asiye mnafiki, anayeweza kutetea kuwa muundo huu uliopo upo sawa sawa. Ndiyo maana watu wote maarufu, wenye...
5 Reactions
28 Replies
674 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,496
Posts
49,605,600
Back
Top Bottom