Habari zenu waungwana,
Rafiki yangu anaomba ushauri, Kwa kifupi ilitokea akawa na mahusiano na mke wa mtu, kwa maelezo yake anasema Mara ya kwanza Kushiriki tendo mwanamke alinasa ujauzito.
Baada...
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo...
Habari wakuu, natumaini mnaendelea vizuri kabisa
Katika harakati za kuendelea kujifunza nimekutana na hii kitu ambayo inaitwa Credit Creation ambayo ndo inasemekana kuwa ndo njia ambayo hizi...
Nasikia gunia la kitunguu saumu la debe tano linauzwa 500,000.
Hiki kitunguu hakina mbegu hivyo unapanda vile vipande vyake. Wanasema ekari moja inaweza kupanda gunia 16 hadi 28 za kilo mia...
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
Mimi naweza kufafanya kitu kibaya kabisa kwa majibu ya chooni kama haya.
Sina maneno mengi ila inasikitisha sana kwa hali ilivyo siku hizi hawa wanawake watatuuwa tukiwa bado vijana wadogo...
Mahojiano yake na mwananchi gazeti tarehe 23 Machi, 2014.
Mchungaji Christopher Mtikila ni mmoja ya wanasiasa ambao kwa miaka zaidi ya 20 sasa, wamekuwa wakililia kurejea Serikali ya Tanganyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.