Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tunaambiwa kuwa Tanganyika na Zanzibar ziliungana Kwa sababu ya kuwepo Kwa mahusiano ya karibu na ya kihistoria baina ya nchi hizi mbili katika nyanja mbalimbali kama vile undugu wa damu biashara...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni kauli ya boss wangu miaka 5 nyuma kipindi namsaidia kwenye kijiwe chake Cha kutibu watu huku na yeye anapambana kwenye ajira ya serekali na kijiwe chake .Nikiwa kama mtu wa Maabara na muda...
3 Reactions
16 Replies
234 Views
Hali ya rushwa kwa askari wa usalama barabarani imefikia kiwango cha kutisha sana, majuzi hapa nilikuwa nasafiri na gari majira ya usiku wa manane, askari akanisimamisha nikakutwa na makosa...
3 Reactions
22 Replies
351 Views
Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
19 Reactions
374 Replies
4K Views
Mpaka sasa wameshapata funzo kwamba Myahudi akidhamiria anapiga tu, wamekubali kujiondokea, magaidi ya dini yabaki yenyewe panyooshwe kama kwingine kule. Mtakaobaki hapo msianze kusema akina mama...
3 Reactions
16 Replies
295 Views
Muhimu: Kwa wale wanaodhani mtoto wa miaka 8 hawezi kujihusisha na ngono wakumbuke enzi zao za utotoni michezo michafu iliyokuwa ikiendelea kwenye kombolela mafichoni Niliwahi kumshauri huyu...
4 Reactions
29 Replies
471 Views
Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
17 Reactions
293 Replies
2K Views
Awali ya yote nawaomba wapambanaji wenzangu ambao kwa namna moja ama nyingine mmesoma au kusomeshwa na ndugu, jamaa ama mataasisi mbali mbali, wengi wetu tumekuwa na matarajio makubwa sana pindi...
15 Reactions
68 Replies
4K Views
  • Sticky
Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
154 Reactions
121K Replies
7M Views
Juzi mama wa mwanangu alikua anaenda dukani, mtoto nayeye akataka kwenda mama yake akamzuia dogo akawa mbishi. Ikabidi wakubaliane kwamba hakuna kubwebwa, mtoto akakubali safari ikaanza, kama...
9 Reactions
15 Replies
143 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,305
Posts
49,596,262
Back
Top Bottom