Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
Ukiajiriwa hizi Taasisi . Wewe umeuaga umaskini mazima au uwe Zombi na mlevi au mpenda ngono kupitiliza. Posho kama zote pia ya kubrashia viatu nje nje
2 Reactions
18 Replies
758 Views
Hello wadau, Baada ya kujaribu kuboresha huduma zetu na ku introduce mfumo mpya wa mauzo, wateja wamepungua maradufu, jambo linalohatarisha uhai wa biashara yetu. Nimeelezea kwa kuonyesha mfumo...
1 Reactions
8 Replies
344 Views
Naishauri TTF wairudie mechi ya Simba na Yanga. Ichezwe next week mashabiki tutachangia gharama za mchezo.
3 Reactions
22 Replies
223 Views
Hali ya rushwa kwa askari wa usalama barabarani imefikia kiwango cha kutisha sana, majuzi hapa nilikuwa nasafiri na gari majira ya usiku wa manane, askari akanisimamisha nikakutwa na makosa...
2 Reactions
8 Replies
12 Views
Serikali za Zambia na Tanzania Kwa Sasa ziko kwenye Majadiliano na China Ili kuwapa uendeshaji wa reli ya TAZARA ambayo pia ilijengwa na China lakini Kwa miaka Mingi imekuwa underutilized. Kwa...
14 Reactions
59 Replies
2K Views
TAARIFA YA KIFO CHA NDG OCTAVIAN HUBERT TEMBA Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei amelaani vikali mauaji ya Ndg Octavian Hubert Temba miaka 25-30 toka kijiji cha Komela...
2 Reactions
19 Replies
498 Views
Naomba nisaidiwe mawazo njinsi ya kuanzisha kiwanda cha kutegeneza misumari, gharama zake na mitambo ya kutegenezea inapo patikana ili ninunue nianze kazi.
1 Reactions
2 Replies
5 Views
Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
16 Reactions
244 Replies
3K Views
Beijing, China RAIS HICHILEMA AIPIGIA CHAPUO TAZARA IKARABATIWE HARAKA https://m.youtube.com/watch?v=T2pHN2eVLJg Shirika la Reli la Tanzania na Zambia TAZARA lawa agenda kubwa mezani wakati wa...
4 Reactions
16 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,280
Posts
49,595,419
Back
Top Bottom