Huu mkasa ulitokea kama miaka miwili imepita, dogo wangu alivyomaliza chuo akapata kazi shirika Moja binafsi, akafanya huko kama miaka minne akaanza mazoea ya kunipiga vizinga Tabia ambayo alikua...
Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandani ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya...
Habari zenu wana jukwaa, nimeona nitoe angalizo kwa kauli za kijinga zinazolazimisha baadhi ya watu kuziishi, mfano 'hainaga ushemeji-tunakulaga', 'ukimwi ni Kama malaria tu','pesa ndo Kila...
Wakuu swalama?
Kuzorota kwa huduma gani au shirika gani kutafanya usiipigie tena kura CCM ikafie mbele?
1. Kwakweli kwangu TANESCO ni namba moja, naashum TANESCO ni mbunge, anafanana na yule...
Naona kama kwa sasa limeingia wimbi la kutangaza na kuuza Rooters za WIFI kwa makampuni ya simu nchini.
Kila mmoja anavutia kwake kwa vifurushi vya Mbps 10, 20 na 30 ambavyo ni kwa 4G na 5G...
Mimi ni IT expert Nina experience ya hii field miaka mitano sasa kama kuna ajira yoyote kuhusu IT naweza do iyo kazi private company, or any other institution
Wakuu kichwa cha habari nadhani kinajieleza vya kutosha.
Hakuna uharibifu wowote nilioupata upande wa vifaa kutoka na "Hitilafu" hii ya umeme lakini dili zangu zinaharibika sababu ya hitilafu...
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
Yes, dini ni kwa ajili ya watu wasio na ufikiri sahihi. Dini ina vitu ambavyo ni vya watu wa akili za chini sana.
Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.