Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
Inakwaza na kufedhesha sana kwasasa kuona kuna ongezeko kubwa la watoto ambao hawajulikani baba zao ni akina nani na hata kama baba wanajulikana basi hawapo katika maisha ya mtoto.
Big up kwa...
Wana theolojia, na wengine wote, karibuni kwenye MADA,
Naombeni mnisaidie hili swali,
Ni kama jepesi,Ila ni gumu,ni kutokana na mvutano uliopo,
Kuna wanaosema JEHANAM ya muda sio ya milele na...
Ukiangalia wachezaji wengi ni WA kawaida huenda coastal ukienda Kenya inakuwa bingwa tena bila kufungwa hasa golini akiwepo Matampi
Hapa naangalia game ya Gor na Shabana dah ni kama ndondo flani...
Wakuu salama?
Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni...
Huko KIA wananchi 34 wamebomolewa nyumba zao huku fidia ikiwa haijalipwa kwa madai taratibu za kibenki hazijakamilika. Mkuu wa mkoa anadai pia ni 'huruma ya mama' wao kulipwa fidia kwasababu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.