Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandan ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya...
9 Reactions
28 Replies
353 Views
Juzi mama wa mwanangu alikua anaenda dukani, mtoto nayeye akataka kwenda mama yake akamzuia dogo akawa mbishi. Ikabidi wakubaliane kwamba hakuna kubwebwa, mtoto akakubali safari ikaanza, kama...
9 Reactions
16 Replies
143 Views
Salaam shalom!! Mifumo yote ya kiuongozi, kiutawala, kiuchumi, kisiasa ni copy and paste Toka Ulimwengu usioonekana. Kitabu kiitwacho BIBLIA, NENO la Mungu, ni kitabu chenye codes nyingi sana za...
1 Reactions
11 Replies
55 Views
Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
19 Reactions
377 Replies
4K Views
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga, ni kama uwe mahabusu halafu mkeo...
39 Reactions
165 Replies
4K Views
Ni kauli ya boss wangu miaka 5 nyuma kipindi namsaidia kwenye kijiwe chake Cha kutibu watu huku na yeye anapambana kwenye ajira ya serekali na kijiwe chake .Nikiwa kama mtu wa Maabara na muda...
3 Reactions
19 Replies
234 Views
Hali ya rushwa kwa askari wa usalama barabarani imefikia kiwango cha kutisha sana, majuzi hapa nilikuwa nasafiri na gari majira ya usiku wa manane, askari akanisimamisha nikakutwa na makosa...
6 Reactions
23 Replies
351 Views
Wanajamvi mambo vipi? Hivi karibuni, kama wiki moja imepita sasa nimepata ofa ya kazi kampuni kubwa ya binafsi (Jina Kapuni) inayoanza mwezi wa kwanza 2022. Ofa yao ukiacha marupurupu mengine...
5 Reactions
60 Replies
9K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
11M Views
Mwaka 1947 umoja wa mataifa uliweka mipaka kati ya waarabu na wayahudi. upande wa waarabu ukaitwa Palestina kwa mara ya kwanza (jina walilopewa waarabu enzi warima wakkitawala Israel), upande wa...
4 Reactions
29 Replies
419 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,309
Posts
49,596,345
Back
Top Bottom