Jamaa ni bodaboda hapa Dar es salaam, juzi kaenda na boda yake mpaka Serena Hotel ili akatoe nuksi a.k.a kuushitua umaskini.
Kaagiza Biriani 40,000 na soda ya Mirinda kwa sh. 6500 jumla kuu ikawa...
Kama umekosa huduma ya intaneti kwa saa kadhaa leo, tambua shida sio kifaa unachotumia bali ni tatizo la kiufundi lililotokea kwenye miundombinu ya intaneti iliyopitishwa baharini.
Mkurugenzi...
Niliposoma Vitabu Kadhaa Vinavyoelezea MAPEPO (Demons) Kikiwemo Kile Cha Dag Hewald Mills Kinachoitwa "Demons, And How To Deal With Them" Nilijifunza Kuwa Kumbe Mapepo Yamegawanyika Kulingana na...
Pamoja na Mtandao kutatizika bado tunasubiri Kamanda Erythrocyte wa Ufipa st utujuze kilichojiri pale Chadema HQ mikocheni kwenye CC
Makamu Mwenyekiti mh Tundu Lisu alionekana kuvaa T-shirt ya...
1. Marekani haijawahi kuwa na rais pro Israel kuliko bwana Joe Biden aliyeko madarakani sasa.
2. Yupo kwenye rekodi Joe Biden akisema commitment yake kwa Israel ni unconditional, iron clad na vya...
Nilimuoa mke wangu miaka 25 iliyopita akiwa na watoto wawili wa kiume aliowapata kwenye ndoa yake ya awali.
Niliwapenda sana wale watoto na kuwachukulia kama watoto wangu kabisa na hakuna...
Kutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme.
Airtel SME.
Tigo postpaid
Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa...
"Asili ya Dhahabu: Ugunduzi Mpya katika Ardhi ya Tanzania!
Kupitia juhudi za kisayansi na utaalamu wa jiolojia, nimeweza kufanya ugunduzi wa eneo lenye thamani kubwa ya madini ya dhahabu na copper...
Leo imeripotiwa kuwepo kwa kukatika kwa mawasiliano lililotokana na hitilafu baharini unapopita mkonga wetu wa Taifa.
Mitaandao yote ya mawasiliano imekuwa down kwa muda kiasi na hadi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.