Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

1. Marekani haijawahi kuwa na rais pro Israel kuliko bwana Joe Biden aliyeko madarakani sasa. 2. Yupo kwenye rekodi Joe Biden akisema commitment yake kwa Israel ni unconditional, iron clad na vya...
0 Reactions
6 Replies
138 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Shujaa Magufuli alikuwa Rais wa JMT Juma Nkamia alikuwa Mbunge na Naibu waziri Tundu Lissu alikuwa Mbunge Juma Nkamia aliogopa kutumbuliwa akatoa Sifa za uwongo Ili Katiba ibadilishwe na Rais...
0 Reactions
6 Replies
233 Views
Habari za masiku wanajukwaa wote, leo ningependa tujadili watu mysterious kwenye vitabu vyetu vya dini kama ilivyo kawaida yetu. Hivyo twendeni pamoja ili tusolve mystery hii, kubwa ya yote...
36 Reactions
399 Replies
51K Views
Mtandao kupotea ghafla hewani, umepata changamoto gani mdau?
0 Reactions
13 Replies
139 Views
1. Songas kampuni binafsi iliyoingia mkataba wa kuzalisha umeme na kuiuzia TANESCO mwaka 2004 kwa kutumia mitambo ya gesi. Songas iko Ubungo mataa kama unaatokea Mwenge kwenda Riverside ama...
5 Reactions
63 Replies
2K Views
Ikatokea umemfumania mkeo, usimuabishe mkeo. Nyamaza, acha huyo mgoni wako aondoke, kaa kitako na mkeo muongee na myamalize nyie wawili na usimtangaze popote.
0 Reactions
3 Replies
28 Views
Wakuu salama? Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni...
24 Reactions
124 Replies
2K Views
Alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani mwaka 2016, na kuingia Ikulu 20/01/2017 baada ya kula kiapo. Katika kipindi cha uongozi wake, alifanya mengi, yakiwemo yaliyowafurahisha na yaliyowakwaza...
9 Reactions
41 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views

FORUM STATS

Threads
1,853,338
Posts
49,600,740
Back
Top Bottom